Tarehe (Date)
21 Oct, 2026
Muda (Time)
08:00 AM - 04:30 PM
Ukumbi / Mahali
Morena Hotel - Dodoma
Maelezo ya Tukio (Event Description)
Tukio hili limeandaliwa na Chama cha Makampuni Binafsi ya Ulinzi Tanzania (TSIA) kwa lengo la kuwaleta pamoja wadau wote wa sekta ya ulinzi, wanachama, na vyombo vya usalama kujadili mikakati, viwango vya huduma, na mustakabali wa usalama nchini.
Ushiriki na Usajili
Kwa maelezo zaidi au kujiandikisha kushiriki tukio hili, wasiliana na sekretarieti au tumia kiungo rasmi cha usajili.
Wasiliana Nasi