Tarehe (Date)
14 Oct, 2026
Muda (Time)
09:00 - 16:00
Ukumbi / Mahali
TSIA Training Academy, Mikocheni, Dar es Salaam
Maelezo ya Tukio (Event Description)
Mafunzo ya vitendo kwa maofisa wa ulinzi kuhusu ufungaji wa IP CCTV, Access Control, Biometrics na Alarm Integration yenye cheti rasmi cha TSIA.
Ushiriki na Usajili
Kwa maelezo zaidi au kujiandikisha kushiriki tukio hili, wasiliana na sekretarieti au tumia kiungo rasmi cha usajili.
Wasiliana Nasi