Parliament Budget Committee Yafanya Kikao na Sekta Binafsi
Tarehe 6 Mei, Kamati ya Bajeti ya Bunge la Tanzania ilikutana na wadau mbalimbali kujadili masuala muhimu ya kodi yanayoathiri sekta tofauti nchini, yakiwemo Skills Development Levy (SDL) na Pay As You Earn (PAYE). Kikao hicho kililenga kusikiliza changamoto, mapendekezo na mahitaji ya sekta binafsi ili kuboresha mazingira ya biashara nchini. Kikao hiki kiliratibiwa na […]